Sekondari ya Juu · Kidato cha Tano
Kiswahili
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kumudu stadi za juu za Kiswahili
Mada 13Kukuza uelewa wa misingi na kanuni za Kiswahili
Mada 6- Kufafanua dhana ya fonimu na alofoni za lugha ya Kiswahili (maana, aina, sifa bainifu, uhusiano wa fonimu na alofoni)→
- Kueleza dhana na miundo ya silabi za Kiswahili→
- Kufafanua sifa na dhima za viarudhi vya lugha ya Kiswahili katika utamkaji→
- Kufafanua vipashio vinavyojenga neno (mofu na alomofu)→
- Kuchambua vipashio vinavyojenga neno na dhima zake→
- Kuchanganua sentensi changamani na ambatani kwa kutumia mikabala ya kidhima na kimuundo (kwa njia ya matawi, jedwali, mishale na maelezo)→
Kukuza msamiati kutokana na mazungumzo na maandishi changamani
Mada 3- Kubaini msamiati mpya kutoka katika mazungumzo changamani na kawaida katika miktadha anuai (mfano: taarifa ya habari, midahalo, na mazungumzo ya watu sokoni)→
- Kubaini msamiati mpya kutoka katika matini andishi za kawaida→
- Kutumia msamiati mpya katika kuzungumza na kuandika matini za kawaida na changamani→
Kutumia msamiati na sarufi stahiki katika miktadha mbalimbali
Mada 4
Kuthamini Kiswahili kama lugha ya Taifa
Mada 10Kutambua chimbuko na asili ya Kiswahili
Mada 3Kutathmini kukua na kuenea kwa Kiswahili
Mada 3Kutambua matumizi ya lugha ya kwanza, pili, rasmi na lugha ya Taifa
Mada 4
Kuhariri kazi mbalimbali
Mada 5Kutafsiri na kukalimani kazi mbalimbali
Mada 8Kutafsiri matini mbalimbali
Mada 4Kukalimani mazungumzo mbalimbali
Mada 4
Kuthamini kazi za fasihi
Mada 12Kutambua nadharia ya fasihi
Mada 2Kutathmini maendeleo ya fasihi
Mada 3Kuhakiki kazi za fasihi
Mada 4Kutunga kazi za fasihi
Mada 3