Sekondari ya Juu · Kidato cha Sita
Historia ya Tanzania na Maadili
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kumudu historia ya ujenzi wa Taifa na maadili yake katika kipindi cha 1961–1966
Mada 13Kumudu chimbuko la ukoloni mamboleo
Mada 3Kutathmini mabadiliko ya mifumo ya ulinzi na usalama wa Taifa
Mada 4- Kueleza chimbuko la mifumo ya ulinzi na usalama wa taifa→
- Kuchambua hatua za mabadiliko ya mifumo ya ulinzi na usalama wa taifa baada ya uhuru→
- Kutathmini nafasi ya maadili katika kujenga mifumo imara ya ulinzi na usalama wa taifa→
- Kujadili umuhimu wa wananchi kushiriki katika shughuli za ulinzi na usalama→
Kuchambua visababishi vya mabadiliko ya sera ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa
Mada 3Kutathmini mchango wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika kudumisha uhuru, umoja na amani ya kitaifa
Mada 3
Kutathmini ujenzi wa Taifa na maadili yake wakati wa Azimio la Arusha, 1967–1985
Mada 8Kuchambua chimbuko la Azimio la Arusha na matokeo yake kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni
Mada 4- Kufafanua falsafa ya Azimio la Arusha→
- Kutathmini mifumo na misingi mipya ya kimaadili iliyoanzishwa na Azimio la Arusha→
- Kuchambua athari za Azimio la Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaadili, kiutamaduni na katika uhusiano wa kimataifa→
- Kutathmini umuhimu (relevance) wa Azimio la Arusha katika mazingira ya sasa→
Kutathmini nafasi ya Tanzania katika kujenga uhusiano wa kikanda
Mada 4- Kueleza mchango wa Tanzania katika kuundwa na kukua (evolution) kwa jumuiya za kikanda→
- Kuchambua fursa zitokanazo na ushiriki wa Tanzania katika uhusiano wa kikanda→
- Kutathmini mchango wa lugha ya Kiswahili katika uhusiano wa kikanda→
- Kutathmini ushiriki wa Tanzania katika mapambano dhidi ya rushwa na ujenzi wa utawala bora kikanda→
Kutathmini historia ya Tanzania na maadili wakati wa uliberali, 1986 hadi sasa
Mada 3Kutafsiri mabadiliko ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kimaadili katika kipindi cha uliberali na utandawazi kuanzia 1986 hadi sasa
Mada 3- Kueleza falsafa ya mabadiliko ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kimaadili katika kipindi cha uliberali hadi sasa→
- Kujadili athari za mfumo wa kiliberali kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kimaadili→
- Kuchambua mifumo ya kitaasisi iliyoundwa kuratibu, kulinda na kuzuia vitendo vya ukiukwaji wa maadili ya Taifa katika kipindi cha uliberali hadi sasa→
Kufanya utafiti kuhusu historia ya Tanzania na maadili
Mada 1Kujenga hoja kuhusu historia ya Tanzania na maadili kwa kutumia ushahidi uliotokana na tafiti
Mada 1