Sekondari ya Juu · Kidato cha Tano
Fasihi ya Kiswahili
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kumudu dhana na misingi ya fasihi
Mada 9Kukuza uelewa wa dhana ya fasihi
Mada 3Kutathmini nadharia za chimbuko la fasihi
Mada 1Kuchambua uhusiano kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi
Mada 5- Kufafanua tanzu na vipera vya fasihi simulizi na fasihi andishi→
- Kueleza mchango wa fasihi simulizi katika maendeleo ya fasihi andishi→
- Kutathmini athari za sayansi na teknolojia katika maendeleo ya fasihi simulizi na fasihi andishi→
- Kujadili mchango wa fasihi simulizi na fasihi andishi katika maendeleo ya jamii→
- Kuhusianisha fasihi simulizi na fasihi andishi→
Kuthamini kazi za fasihi
Mada 11Kuonesha uelewa wa misingi ya kutathmini kazi za fasihi
Mada 3Kutathmini nadharia za uhakiki wa kazi za fasihi
Mada 1Kuhakiki kazi za fasihi kwa kutumia misingi na nadharia mbalimbali
Mada 2Kutumia fasihi kutathmini maadili na mitazamo katika jamii
Mada 5- Kueleza maadili yaliyomo katika nyimbo za bongo fleva, mashairi na tamthiliya→
- Kulinganisha maadili yaliyomo katika bongo fleva, mashairi na tamthiliya na imani za jamii→
- Kueleza mitazamo iliyomo katika bongo fleva, mashairi na tamthiliya→
- Kuhusianisha mitazamo iliyomo katika nyimbo za bongo fleva, mashairi na tamthiliya na matendo ya jamii→
- Kujadili namna athari za kiimani na kimitazamo katika bongo fleva, mashairi na tamthiliya zinavyojidhihirisha katika jamii→
Kujenga ujumi
Mada 7Kumudu mbinu zinazotumika kujenga ujumi katika kazi za fasihi
Mada 2Kutathmini maana mbalimbali za kazi za fasihi
Mada 2Kutumia fasihi kujenga hoja zenye mantiki na ushawishi
Mada 3
Kubuni kazi changamani za fasihi
Mada 5Kutambua fursa zinazotokana na kazi za fasihi ya Kiswahili
Mada 3Kumudu kanuni za utunzi wa kazi za fasihi
Mada 1Kutunga kazi za fasihi
Mada 1