Sekondari ya Juu · Kidato cha Tano
Historia ya Tanzania na Maadili
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kulinda historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa
Mada 13Kumudu historia, utambulisho na maadili ya Taifa
Mada 5- Kueleza dhana na uhusiano wa kinadharia uliopo kati ya historia, utambulisho na maadili ya taifa→
- Kujadili misingi ya kihistoria iliyounda utambulisho na maadili ya taifa→
- Kuchambua nafasi ya historia na maadili katika kujenga fahari ya taifa→
- Kutathmini nafasi ya tunu za taifa na maadili katika kujenga misingi ya uongozi bora→
- Kubaini mikakati ya kulinda historia, utambulisho na maadili ya taifa→
Kutathmini mchango wa historia na urithi katika kuchangia maendeleo ya Taifa
Mada 5- Kufafanua dhana ya urithi wa taifa→
- Kubaini historia na urithi wa taifa katika maeneo mbalimbali nchini→
- Kujadili mchango wa historia na urithi katika maendeleo ya taifa→
- Kuchambua uhusiano uliopo kati ya maadili na urithi katika kuleta maendeleo ya taifa→
- Kujadili njia bora za uhifadhi wa urithi ili kuleta maendeleo endelevu kwa taifa→
Kutumia fursa mbalimbali zitokanazo na historia na urithi wa Tanzania kujenga ushirikiano na kukuza biashara ya kimataifa
Mada 3- Kubaini fursa za kiuwekezaji zitokanazo na vivutio vya kihistoria na urithi wa Tanzania→
- Kujadili nafasi ya historia na urithi wa Tanzania katika kujenga ushirikiano na kukuza biashara ya kimataifa→
- Kubaini vitendo vya kimaadili na visivyo vya kimaadili vinavyoweza kukuza au kudumaza fursa zitokanazo na historia na urithi→
Kumudu historia ya Tanzania na maadili kabla ya ukoloni
Mada 9Kutathmini vichocheo vya maendeleo ya jamii za Kitanzania na maadili yake kabla ya ukoloni
Mada 3Kuelezea uhusiano wa jamii za Kitanzania na jamii nyingine duniani kabla ya ukoloni
Mada 3Kuhusianisha mapokeo ya mifumo ya kihistoria katika kuelezea maadili ya Kitanzania
Mada 3
Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890–1960
Mada 7Kutathmini ukoloni kama nguvu laini (soft power) ya kujenga mwelekeo mpya wa jamii
Mada 4- Kueleza dhana ya ukoloni kama nguvu laini (soft power) na nguvu ngumu (hard power)→
- Kueleza chimbuko la ukoloni na kuenea kwake Tanzania→
- Kuchambua athari za ukoloni kisiasa, kiuchumi, kijamii, kiutamaduni na maadili→
- Kujadili uzalendo na ujasiri wa Watanzania waliopinga mfumo wa ukoloni na maadili ya utamaduni→
Kuchambua mchango wa ukoloni katika mfumo wa maadili ya Kitanzania
Mada 3
Kufanya utafiti kuhusu historia ya Tanzania na maadili
Mada 1Kujenga hoja kuhusu historia ya Tanzania na maadili kwa kutumia ushahidi uliotokana na tafiti
Mada 1