Msingi · Darasa la Nne
Kiswahili
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali
Mada 9Kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali
Mada 5- Kulinganisha vitu kwa kutumia maneno (kuliko, zaidi ya, kama, mithili ya na mfano wa) katika miktadha mbalimbali→
- Kusimulia matukio kwa kuzingatia njeo za wakati: uliopo (-na-), uliopita (-li-), ujao (-ta-); na hali timilifu (-me-) na mazoea (hu-)→
- Kujieleza kwa kujiamini→
- Kuunga mkono au kupinga wazo kwa hoja na mifano rahisi→
- Kutumia nahau na methali katika mazungumzo→
Kutumia maandishi katika mawasiliano kulingana na miktadha mbalimbali
Mada 4- Kutunga matini sahili kwa kutumia alama za uakifishaji (kistari kifupi, mkwaju, mabano na funga/fungua semi)→
- Kutumia nyakati na hali kwa usahihi katika uandishi wa kifungu cha habari→
- Kuandika matini sahili kwa kuzingatia mtiririko sahihi wa mawazo→
- Kuandika barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo sahihi→
Kuonesha uelewa wa jambo alilosikiliza au kulisoma
Mada 6Kuonesha stadi za kusikiliza na kuelewa
Mada 3Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
Mada 3
Kuwasilisha hoja kwa mazungumzo na kwa maandishi kulingana na muktadha
Mada 7Kuwasilisha hoja kwa njia ya mazungumzo katika miktadha mbalimbali
Mada 3Kuchanganua mawazo yaliyowasilishwa katika matini mbalimbali
Mada 3Kuonesha stadi za awali za ubunifu wa kazi mbalimbali za Kiswahili
Mada 1