Mada za sehemu hiiKuwasiliana Katika Miktadha MbalimbaliMada 6
Kauli halisi
Maana
Haya ni maneno yanayozungumzwa moja kwa moja na mzungumzaji, mfano: nenda kaoshe vyombo. Kwa kawaida kauli halisi huwa katika wakati uliopo na pia kuwekewa alama za nukuu mfano, "nendeni sokoni".
Sifa za kauli halisi
- Kutumia nafsi ya kwanza.
- Kutumia wakati uliopo.
- Kutumia alama za funga na fungua semi.
Mfano: John alisema, "Wote mnaitwa na mwalimu wa darasa."
Kauli taarifa
Maana
Ni uzalishaji wa maneno au taarifa iliyosemwa na mtu mwingine. Hapa alama za nukuu hazitumiki.
Mfano: Alisema nipike chakula wale.
Mwalimu
Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.
Ingia ili kuuliza