Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Tano

Kiswahili

Matumizi ya nafsi

takriban dakika 1 kusoma

Mada za sehemu hiiKuwasiliana Katika Miktadha MbalimbaliMada 6

Maana ya nafsi

Nafsi ni sawa na mtu. Tuna nafsi tatu katika lugha ya Kiswahili.

NAFSIUMOJAWINGI
NAFSI YA KWANZAMimiSisi
NAFSI YA PILIWeweNinyi
NAFSI YA TATUYeyeWao

Nafsi ya kwanza umoja mimi huwakilishwa na Ni

Nafsi ya kwanza wingi sisi huwakilishwa na Tu

Nafsi ya pili umoja wewe huwakilishwa na U

Nafsi ya pili wingi nyinyi huwakilishwa na M

Nafsi ya tatu umoja yeye huwakilishwa na A

Nafsi ya tatu wingi wao huwakilishwa na WA

Matumizi

Nafsi ya Kwanza

UMOJAWINGI
MimiSisi
Nitaandika kitabuTutaandika kitabu

Nafsi ya Pili

UMOJAWINGI
WeweNinyi
Utaandika kitabuMtaandikia kitabu

Nafsi ya Tatu

UMOJAWINGI
YeyeWao
Ataandika kitabuWataandika kitabu

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza