Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Tano

Kiswahili

Kueleza Shughuli Mbalimbali

takriban dakika 1 kusoma

Mada za sehemu hiiKuwasiliana Katika Miktadha MbalimbaliMada 6

Kueleza Shughuli Mbalimbali

Mwanafunzi anazo shughuli ambazo anatakiwa kuzifanya kila siku awapo shuleni. Shughuli hizo ni:

  1. Kuwaiti mapema shuleni kwa muda uliopangwa.
  2. Kufanya usafi katika eneo alilopangiwa na kiranja.
  3. Kusimama mstarini na kukaguliwa usafi, kuimba wimbo wa taifa na wimbo wa shule.
  4. Kuingia darasani na kuhudhuria vipindi vyote siku husika.
  5. Kufanya kazi zote za darasani anazotoa mwalimu.
  6. Kufanya masahihisho kwenye sehemu alizokosea katika masomo.

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza