Sekondari ya Kawaida · Kidato cha Pili
Historia ya Tanzania na Maadili
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890–1960
Mada 10Kutumia maarifa na ujuzi wa chimbuko na ukuaji wa mfumo wa ukoloni kuelewa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na mataifa yaliyoitawala
Mada 3Kutathmini athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania
Mada 3Kuchambua jitihada za jamii za Kitanzania kupinga ukoloni na maadili ya kikoloni
Mada 4- Kubaini sababu za jamii za Kitanzania kupinga uvamizi wa kikoloni, ukoloni na maadili yake→
- Kujadili njia mbalimbali zilizotumika na jamii za Kitanzania kupinga uvamizi wa kikoloni, ukoloni na maadili yake→
- Kufafanua misingi na mbinu zilizotumika kupigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar→
- Kutathmini mchango wa harakati za kupinga uvamizi na ukoloni katika kutunza maadili ya Kitanzania na kujenga uzalendo→
Kumudu historia ya ujenzi wa Taifa la Tanzania na maadili katika kipindi cha 1961–1966
Mada 4Kuchambua mifumo ya uchumi, siasa, utamaduni jamii na maadili iliyojengwa 1961–1966
Mada 2Kumudu historia ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Mada 2