Msingi · Darasa la Tatu
Historia ya Tanzania na Maadili
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kulinda historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa
Mada 13Kumudu dhana ya historia ya Tanzania, urithi na maadili
Mada 2Kumudu maarifa ya jamii inayomzunguka
Mada 3Kutumia maarifa na ujuzi wa jamii inayomzunguka kusimulia asili, urithi na maadili ya jamii husika
Mada 5- Kubaini asili za jamii zinazomzunguka (tamaduni, mavazi, chakula, ngoma, michezo na nyimbo)→
- Kufafanua umuhimu wa maarifa, ujuzi wa asili na urithi wa kihistoria kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii→
- Kubaini mbinu za kutumia maarifa na ujuzi wa asili katika kuboresha ustawi wa jamii→
- Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili, asili za jamii na urithi wa kihistoria katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni)→
- Kueleza thamani ya asili na urithi wa kihistoria katika jamii inayomzunguka→
Kutathmini ushirikiano baina ya jamii za Kitanzania katika kujenga uhusiano wa kijamii na kiuchumi
Mada 3
Kumudu historia ya Tanzania na maadili kabla ya ukoloni
Mada 4Kuelezea mifumo mbalimbali ya utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
Mada 4- Kueleza mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia, ukoo na shule→
- Kueleza misingi ya ukuzaji na utunzaji wa maadili katika jamii inayomzunguka→
- Kueleza mchango wa uongozi wa ukoo katika utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii kabla ya ukoloni→
- Kubaini wajibu wa jamii katika ujenzi wa maadili ya familia→