Sekondari ya Kawaida · Kidato cha Tatu
Kiswahili
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kumudu misingi ya Kiswahili
Mada 4Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili
Mada 4- Kuunda maneno kwa njia mbalimbali kutokana na habari alizozisoma au kuzisikiliza (mf. utohoaji, uradidi, uhulutishaji)→
- Kuandika habari kwa kuzingatia maneno yaliyoundwa kwa njia mbalimbali→
- Kujenga hoja za uga mahususi kwa kutumia miundo mbalimbali ya sentensi (mf. siasa, uchumi, kilimo na biashara)→
- Kuandika matini ndefu na changamani kwa kutumia miundo mbalimbali ya sentensi→
Kumudu lugha ya mazungumzo na ya maandishi
Mada 4Kusikiliza na kuelewa mazungumzo
Mada 2Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
Mada 2
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali
Mada 2Kuwasiliana kwa ufasaha kwa njia ya mazungumzo
Mada 1Kuwasiliana kwa njia ya maandishi katika miktadha mbalimbali
Mada 1
Kuthamini kazi za fasihi ya Kiswahili
Mada 11Kukuza uelewa wa misingi ya fasihi ya Kiswahili
Mada 2Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili
Mada 5- Kujadili dhana ya uhakiki wa kazi za fasihi (maana ya uhakiki, mhakiki na sifa za mhakiki)→
- Kufafanua misingi ya uhakiki wa kazi za fasihi simulizi na fasihi andishi (vipengele vya fani na maudhui)→
- Kuhakiki fani na maudhui katika kazi za fasihi simulizi (mashairi na maigizo)→
- Kuhakiki fani na maudhui katika tamthiliya→
- Kutathmini namna maudhui ya kazi alizozihakiki yanavyosadifu jamii inayomzunguka→
Kubuni kazi za fasihi ya Kiswahili
Mada 4
Kutoa huduma ya lugha ya Kiswahili katika jamii
Mada 5Kufanya tafsiri sahili katika lugha ya Kiswahili
Mada 3Kuhariri matini mbalimbali za Kiswahili
Mada 2