Mada za sehemu hiiKuwasiliana Katika Miktadha MbalimbaliMada 4
- Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali
- Kutumia maandishi katika mawasiliano
- Matumizi Ya Msamiati Katika Maandishi
- Matumizi ya Msamiati Katika Mazungumzo
- Bibi yangu anaitwa Semwa
- Anaishi huko Iringa
- Bibi alisema, wakati wa likizo tukamtembelee
- Bibi amelima shamba lenye matunda damu: maembe, mananasi na mapapai
- Tukienda tutamsaidia kupalilia
Nyumbani kwa shangazi
Shangazi yangu anaitwa Mwadawa, anaishi Njombe Dadaga, nyumba yake ipo karibu na mto: pia imezungukwa na miti mbalimbali:
- Miti iliyopo ni ya matunda kama vile: miparachichi, mipera, miembe, michungwa, mipapai, mistafeli, mitopetope na matunda damu.
Nilipokuwa huko shangazi aliniuliza: "Ninapenda matunda gani?" Shangazi yangu nilijibu: "Mimi napenda peasi." Shangazi alifurahi akasema: "Ooh! Shangazi yangu unapenda peasi!" Akaenda kuniletea matunda yangu.
-
Shangazi yangu anaitwa Mwadawa, anaishi Njombe Dadaga.
- Tumetumia mkato (pumziko dogo)
- Tumetumia kituo (pumziko kubwa)
-
Pia imezungukwa na miti mbalimbali
- Tumetumia nukta mbili na kistari kuonyesha vitu katika orodha
-
Niliulizwa swali: "Ninapenda matunda gani shangazi yangu?"
- Tumetumia alama ya kuuliza (?)
-
Pia shangazi ameshangaa kusikia ninapenda peasi.
-
Sentensi zote kuu zimeanza na neno lenye herufi kubwa mwanzoni kama:
- Shangazi yangu anaitwa Mwadawa
- Nilipokuwa huko
-
Majina yote ya watu na Mungu yanaanza na herufi kubwa kama vile Mwadawa. Pia jina Njombe limeanza na herufi kubwa.
Kwa mfano:
- Dodoma
- Iringa
- Tanga
- Arusha
- Bagamoyo
- Dar es Salaam
- Mbeya
- Marekani
- Ruvuma
- Misri
- Ethiopia
- Kilimanjaro
Kila baada ya nukta, neno linalofuata huanza kwa herufi kubwa kama vile:
Nilipokuwa huko Shangazi aliniuliza: "Ninapenda matunda gani?" Nikahamaaki...
- Nyuma ya
- Ndani ya
- Nje ya
- Chini ya
- Juu ya
- Pembeni ya
- Kando ya
- Chui yuko juu ya mti
- Mayai yamo ndani ya kikapu
- Paka yumo ndani ya kabati
- Mbwa amelala nje ya nyumba
- Mwizi yupo nyuma ya nyumba yetu
- Sufuria/birika
- Jiko
- Sukari
- Majani ya chai
- Kijiko
- Maji
- Chupa ya kuhifadhi chai
- Viungo vya chai
- Osha sufuria/birika
- Jaza maji kwenye sufuria/birika
- Washajiko
- Injika sufuria/birika lenye maji
- Maji yakichemka weka majani ya chai/viungo
- Weka sukari na koroga
- Weka kwenye chupa ya kuhifadhia
Watu ambao huandikwa barua za kirafiki ni kama hawa:
- Marafiki
- Ndugu na jamaa
- Wazazi wetu
- Wazazi wenu
Barua hizi huandikwa kwa lengo la kutoa salamu, kujua habari, kuomba msamaha, kukumbusha jambo, kupeana pongezi au pole.
Unapoandika barua ya kindugu au za kirafiki, zingatia mambo yafuatayo:
- Anuani ya mwandishi
- Tarehe ya kuandika barua
- Utangulizi wa barua
- Salamu
- Barua yenyewe
- Salamu za maagano
- Jina
- Saini
- Anuani
- Tarehe
- Utangulizi
- Salamu
- Barua yenyewe
- Hitimisho la barua
- Saini
- Jina la mwandishi
Mfano wa barua yenyewe
Shule ya Msingi Kariua S.L.P 3131 ARUSHA
24/01/2018
Kwako Ashura,
Salamu,
Lengo la barua hii ni kutaka kukujulisha kwamba, mimi Amina, Yusufii, Rehema, Dani na Diana tunepandishwa hadi darasa la nne badala ya darasa la tatu. Walimu wamesema wanaweza kutufundisha hadi darasa la sita kama tutafaidika kuwa na matokeo mazuri. Kwa hiyo mwenzako niko darasa la nne, nawe kazana ili uweze kufikiia kupandishwa darasa.
Kwa leo sina mengi. Iliakutakia shule njema na uwasalimie marafiki zako huko Arusha.
Ni mimi Rafiki ako mpendwa,
Jamal
Amboni Jamali
Mwalimu
Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.
Ingia ili kuuliza