Sonzaschool
Rudi

Sekondari ya Juu · Kidato cha Tano

Kiswahili 1

Umahiri wa lugha

takriban dakika 21 kusoma

Mada za sehemu hiiMatumizi Ya LughaMada 5

UMAHIRI WA LUGHA

Umahiri katika lugha ni ujuzi wa kiwango cha juu katika lugha fulani ambao hukita katika stadi nne za lugha yaani kusoma, kuzungumza, kuandika na kusikia.

Umahiri unaweza kugawanyika katika makundi makuu mawili:

  1. Umahiri katika lugha
  2. Umahiri wa lugha

  • Umahiri katika lugha ni ujuzi wa kiwango cha juu katika lugha fulani kwa viwango vyote vya lugha, yaani kuzungumza, kusikia, kusoma na kuandika.
  • Aidha umahiri katika lugha huhusiana na ujuzi wa hali ya juu katika lugha moja tu, mfano: Kiswahili peke yake, Kiingereza peke yake au lugha za kilugha peke yake.

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza