Sonzaschool
Rudi

Sekondari ya Kawaida · Kidato cha Pili

Kiswahili

Mnyambuliko

takriban dakika 1 kusoma

Mada za sehemu hiiUundaji Wa ManenoMada 3
  1. Mofimu
  2. Uambishaji
  3. Mnyambuliko

Unyambulishaji unatokana na neno "nyambua" ikiwa na maana refusha au vuta kitu. Mnyambuliko ni kitendo cha uvutaji au urefushaji kipashio / vipashio katika mzizi wa neno. Aidha mnyambuliko unahusu upachikaji wa mofimu zinazofuata mzizi wa neno. Mofimu hizi huitwa mofimu fuatishi (viambishi tamati)

Mfano:

  1. Soma - som-e-a
  2. Som-eka
  3. Som-esha
  4. Som-wa
  5. Som-eana
  6. Som-o

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza