Msingi · Darasa la Sita
Historia ya Tanzania na Maadili
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kumudu Historia ya ujenzi wa Taifa la Tanzania na maadili katika kipindi cha 1961-1966
Mada 3Kumudu historia ya ujenzi wa Taifa na maadili baada ya uhuru
Mada 3
Kutathmini Ujenzi wa Taifa na maadili wakati wa Azimio la Arusha, 1967-1985
Mada 6Kuelezea misingi na maadili ya Azimio la Arusha na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea
Mada 4- Kueleza dhana ya Azimio la Arusha na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea (lengo na umuhimu)→
- Kufafanua misingi ya Azimio la Arusha (Ujamaa na Kujitegemea) katika harakati za ujenzi wa Taifa huru na maadili nchini→
- Kueleza mchango wa Azimio la Arusha katika harakati za mapambano dhidi ya rushwa→
- Kutathmini harakati za ujenzi wa Taifa na maadili wakati wa kipindi cha 1967-1985→
Kuelezea mchango wa Tanzania katika mapambano dhidi ya ukoloni na ukandamizaji
Mada 2
Kutathmini Historia ya Tanzania na maadili wakati wa uliberali, 1986 hadi sasa
Mada 6Kufafanua dhana ya uliberali kwa kuhusianisha na maadili ya Kitanzania
Mada 3Kutumia maarifa na ujuzi wa historia ya Tanzania na maadili ya Taifa kufanya uamuzi sahihi katika nyakati za uliberali
Mada 3