Msingi · Darasa la Tatu
Dini ya Kiislamu
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kuishi kwa kumpwekesha Allah (Suhaanahu Wata’ala)
Mada 2Kufafanua nguzo za imani
Mada 2
Kuthamini Qur’an na mafundisho yake
Mada 5Kumudu misingi ya kufahamu na kusoma Qur’an
Mada 3- Kuhusianisha sauti na herufi yenye Shadda (ّ) → b-b ب (b-imerudiwa mara mbili, mfano:ّ َ = بِ ر rabbi→
- Kuhusianisha sauti na herufi yenye Maddah (/ اــ يــ / وــ ) ya kurefusha sauti) Maddah haikai juu ya Ba (ب) moja kwa moja, bali huja baada ya Ba ikiwa imewekewa haraka yake. Baa (اَب) maddah ya Alif→ baa (sauti ya a inarefushwa) Buu (وُب) maddah ya Waw→buu (sauti ya u inarefushwa)] Bii (يِب) – maddah ya Yaa → bii (sauti ya i inarefushwa→
- Kuhusianisha sauti na herufi yenye Sukuun (ْ) mfano:بْ → b tu bila sauti ya mwisho. Sauti inakatika ghafla— hakuna a, i, u. Mfano: بْ هَ ذْ ِا (idh-hab)→
Kusoma na kutafsiri sura teule
Mada 2
Kutekeleza ibada
Mada 4Kufafanua utekelezaji wa ibada ya swala
Mada 2Kuishi kwa kumuiga Mtume Muhammad (Swallallaahu‘Alayhi Wasallam)
Mada 2
Kuthamini na kutumia Historia ya Uislamu
Mada 4Kutambua mitume wa Allah (Subhaanahu Wata’ala) waliotajwa katika Qur’an
Mada 2Kufafanua namna Mtume Muhammad (Swallallaahu‘Alayhi Wasallam) alivyofundisha Uislamu
Mada 2