Mada za sehemu hiiKumudu misingi ya kufahamu na kusoma Qur’anMada 3
- Kuhusianisha sauti na herufi yenye Shadda (ّ) → b-b ب (b-imerudiwa mara mbili, mfano:ّ َ = بِ ر rabbi
- Kuhusianisha sauti na herufi yenye Maddah (/ اــ يــ / وــ ) ya kurefusha sauti) Maddah haikai juu ya Ba (ب) moja kwa moja, bali huja baada ya Ba ikiwa imewekewa haraka yake. Baa (اَب) maddah ya Alif→ baa (sauti ya a inarefushwa) Buu (وُب) maddah ya Waw→buu (sauti ya u inarefushwa)] Bii (يِب) – maddah ya Yaa → bii (sauti ya i inarefushwa
- Kuhusianisha sauti na herufi yenye Sukuun (ْ) mfano:بْ → b tu bila sauti ya mwisho. Sauti inakatika ghafla— hakuna a, i, u. Mfano: بْ هَ ذْ ِا (idh-hab)
Mwalimu
Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.
Ingia ili kuuliza