Sekondari ya Kawaida · Kidato cha Kwanza
Kiswahili
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kumudu misingi ya Kiswahili
Mada 4Kutambua Kiswahili kama kielelezo cha utaifa na utambulisho wa Mtanzania
Mada 1Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili
Mada 3- Kusimulia habari na matukio kwa kuzingatia kiimbo, mkazo, na lafudhi pamoja na dhima zake→
- Kuandika hadithi kwa kuzingatia mpangilio na uhusiano sahihi wa maneno (nomino, vivumishi, vielezi, viwakilishi, vitenzi, vihisishi, vihusishi na viunganishi) katika sentensi→
- Kuandika hadithi kwa kuzingatia mpangilio na uhusiano sahihi wa sentensi katika aya→
Kumudu lugha ya mazungumzo na ya maandishi
Mada 7Kusikiliza na kuelewa mazungumzo
Mada 3Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
Mada 4- Kusoma matini fupi changamani kwa kuzingatia alama za uandishi, kasi sahihi na kiimbo cha tungo→
- Kueleza namna alama za uandishi na kiimbo vinavyoathiri ujumbe katika usomaji wa matini fupi changamani→
- Kuandika hoja kuu kutoka katika matini fupi changamani alizozisoma kwa kuzingatia sifa za lugha ya maandishi (mf. alama za uandishi, miunganiko sahihi ya tungo, usanifu)→
- Kutumia TEHAMA kutafuta maana ya maneno mapya kutoka katika matini aliyoisoma→
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali
Mada 5Kutumia kamusi katika miktadha mbalimbali
Mada 2Kuwasiliana kwa ufasaha kwa njia ya mazungumzo
Mada 2Kuwasiliana kwa njia ya maandishi katika miktadha mbalimbali
Mada 1