Mada za sehemu hiiVitendawiliMada 3
- Muundo wa vitendawili
- Sifa za vitendawili
- Umuhimu wa vitendawili
Sifa za Vitendawili
-
Vitendawili huwa na mwanzo maalum (kitendawili - tega)
-
Vitendawili huwa ni baina ya mtegaji na mteguaji
-
Vitendawili huwa ni swali na jibu
Swali: Nyumba yangu haina mlango
Jibu: Yai
-
Vitendawili hurejelea vitu vinavyopatikana katika mazingira na vinavyojulikana. Mfano: Kuku wangu katagia mibani — nanasi
Mwalimu
Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.
Ingia ili kuuliza