Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Sita

Kiswahili

Shairi

takriban dakika 2 kusoma

Mada za sehemu hiiKuwasiliana Katika Miktadha MbalimbaliMada 3

Kughani shairi kwa kuzingatia kanuni za mashairi, vina, mizani na kituo

Shairi mashairi ni tungo zenye kutumia mapigo ya silabi kwa utaratibu maalumu wa kimuziki kwa kutumia lugha ya mkato, lugha ya picha na tamathadi za semi.

  1. Mashairi ya kimapokeo

Haya ni mashairi yanayozingatia kanuni za urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila ubeti na kituo katika shairi. Vilevile haya huitwa mashairi funge

  1. Mashairi huru

Haya ni mashairi yasiyozingatia kanuni za kimapokeo yaani hayazingatii kanuni za urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila ubeti na kituo katika shairi, mashairi haya huitwa mashairi ya kisasa.

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza