Sonzaschool
Rudi

Sekondari ya Kawaida · Kidato cha Pili

Kiswahili

Misimu

takriban dakika 4 kusoma

Mada za sehemu hiiMatumizi Ya Lugha Katika Miktadha MbalimbaliMada 5

Misimu au simo ni maneno yanayosanifu yanayozuka au zushwa na kikundi cha watu wachache wenye tamaduni moja ili kuelezana mahusiano yao kama kikundi au kuhusu jamii kubwa ambamo vikundi hivyo vinaishi katika kipindi fulani cha muda. Hatimaye maneno hayo hupotea na yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha inayohusika.

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza