Sonzaschool
Rudi

Sekondari ya Juu · Kidato cha Sita

Kiswahili 2

Kutafsiri

takriban dakika 7 kusoma

Mada za sehemu hiiKutafsiri Na KukalimaniMada 2
  1. Kutafsiri
  2. Kukalimani

Profesa Mwansako (1961) "Kitangulizi cha Tafsiri" anafasili tafsiri kuwa ni zoezi la uhawilishaji wa mawazo katika maandishi kutoka lugha moja kwenda nyingine. Pia TUKI toleo la pili (2004) inaeleza kuwa "Tafsiri ni maana ya maneno kutoka katika matini iliyoandikwa katika lugha moja kwenda lugha nyingine."

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza