Sonzaschool
Rudi

Sekondari ya Juu · Kidato cha Sita

Kiswahili 2

Kukalimani

takriban dakika 2 kusoma

Mada za sehemu hiiKutafsiri Na KukalimaniMada 2
  1. Kutafsiri
  2. Kukalimani

Tuki (2004) anasema "Mkalimani ni mtu anayefasiri mazungumzo papo kwa papo kutoka lugha nyingne kwenda nyingine". Hivyo twaweza sema ukalimani ni kitendo cha kuhamisha maneno kutoka lugha moja kwenda nyingine kwa kuongea au mazungumzo. Katika ukalimani mawazo au jambo lazima liwe katika mazungumzo na sio maandishi.

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza