Sonzaschool
Rudi

Sekondari ya Kawaida · Kidato cha Nne

Kiswahili

Kukua na kuenea kwa lugha

takriban dakika 3 kusoma

Mada za sehemu hiiUhakiki Wa Kazi Za Fasihi AndishiMada 2
  1. Kuongeza msamiati.
  2. Kukua na kuenea kwa lugha

Lugha hukua kwa:

  1. Kuongezeka kwa idadi ya misamiati.
  2. Kutumika katika mawasiliano rasmi ya serikali, biashara, dini, ofisi na taaluma za kisayansi/kiteknolojia.
  3. Kuandikwa kwa hati za maandishi (mfano: Kiswahili kilianza kwa hati za Kiarabu, kisha kilatini karne ya 19).
  4. Kufanyiwa utafiti na kusanifiwa (mfano: Kiswahili kilianza kusanifiwa mwaka 1925).

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza