Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Tano

Kiswahili

Aina za insha

takriban dakika 1 kusoma

Mada za sehemu hiiIshaMada 2
  1. Aina za insha
  2. Muundo wa insha

Maana ya insha

Insha: ni kifungu cha maneno kilichopangwa kwa mpangilio maalumu wenye kueleza jambo fulani lililopangwa katika aya. Jambo hilo laweza kuwa ni ugonjwa, wanyama n.k.

Aina za insha

Zipo aina mbili za insha nazo ni:

  • Insha za kisanaa: Insha ya kisanaa ni ile inayotumia lugha ya kisanaa yaani yenye tamathali za semi kama vile sitiari, tashbiha, taniaba na mubalagha.
  • Insha zisizo za kisanaa: ni aina ya insha ambayo haitumii lugha za kifasihi isipokuwa hutumia lugha ya kawaida tu.

Mwalimu

Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.

Ingia ili kuuliza