Sekondari ya Kawaida · Kidato cha Kwanza
Historia ya Tanzania na Maadili
MtaalaMtaala wa 2023
Jaribio fupi linalobadilika kuona ulipo.
Fanya jaribioKiwango
Mada
Kulinda historia, urithi na maadili ya Taifa
Mada 10Kuelezea chimbuko la jamii za Kitanzania na maadili yake
Mada 3Kumudu maarifa na ujuzi wa maadili na urithi wa jamii za Kitanzania
Mada 2Kutumia maarifa na ujuzi wa historia na urithi kubuni fursa mbalimbali zilizopo katika jamii za Kitanzania
Mada 3Kubaini fursa mbalimbali za kujenga ushirikiano na kukuza uchumi wa kitaifa
Mada 2
Kumudu historia ya jamii za Kitanzania na maadili yake kabla ya ukoloni
Mada 8Kuchambua mifumo ya kijamii (elimu, afya, utamaduni, uchumi) iliyokuza na kuendeleza maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
Mada 2Kuchambua mifumo iliyokuza na kuendeleza uchumi na siasa katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
Mada 4- Kubaini mifumo ya kiuchumi na kisiasa katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni→
- Kueleza jinsi mifumo ya kisiasa na kiuchumi ilivyokuza na kuendeleza shughuli za kiuchumi na kisiasa kabla ya ukoloni→
- Kufafanua uhusiano kati ya jamii za Kitanzania na za Mashariki ya Kati, Mashariki ya Mbali na Ulaya katika kuendeleza shughuli za kiuchumi na kisiasa kabla ya ukoloni→
- Kutathmini mchango wa mifumo ya kisiasa na kiuchumi katika kukuza maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni→
Kutathmini vichocheo vya mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
Mada 2