Mada za sehemu hiiNgonjeraMada 2
- Maana ya ngonjera
- Umuhimu na faida za ngonjera
Maana ya Ngonjera
Ngonjera ni utunzi wa ushairi ambapo watu wawili hulumbana na kujibizana kishairi. Aidha huanza kwa kujibizana kwa hoja na mwishoni hufikia mwafaka ambapo upande mmoja hukubaliana na hoja za upande mwingine. Kwa kawaida ngonjera huwa na vina na mizani na kituo kama mashairi mengine. Hutumia lugha ya kishairi na muundo wake ni wa kishairi.
Mwalimu
Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.
Ingia ili kuuliza