Sonzaschool
Rudi

Msingi · Darasa la Tano

Historia ya Tanzania na Maadili

Kueleza umuhimu wa kuenzi Tunu za Taifa

takriban dakika 3 kusoma

Mada za sehemu hiiKuelezea mchango wa tunu na alama za Taifa katika kujenga umoja wa kitaifa na uzalendoMada 3

Umuhimu wa Kuenzi Tunu za Taifa

Tunu za Taifa ni maadili, utamaduni, historia na mila zinazowaunganisha wananchi wa nchi husika. Tunu hizi ndio zinazotambulisha taifa letu na kuwafanya Watanzania tuwe wamoja. Kila taifa duniani lina tunu zake ambazo wananchi wanazipenda, kuzithamini, kuzienzi na kuzilinda kama kitu cha thamani.

Tunu za Taifa la Tanzania ni pamoja na uhuru, usawa wa haki na fursa kwa wote, umoja, ushirikiano, uzalendo, uadilifu, uwazi, uwajibikaji na lugha ya taifa ya Kiswahili.

Swali

Tunu za taifa ni gani?

Ingia ili kuwasilisha jibu lako na lihesabiwe katika umahiri wako.

Ingia ili kufanya mazoezi

Mwalimu

Umekwama? Niulize chochote kuhusu mada hii.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu swali hili.

Ingia ili kuuliza