Sonzaschool
Rudi

Sekondari ya Juu · Kidato cha Sita

Fasihi ya Kiswahili

Kuchambua mbinu zinazotumika kujenga ujumi katika ngonjera, hadithi fupi na riwaya

takriban dakika 3 kusoma

Mada za sehemu hiiKumudu mbinu zinazotumika kujenga ujumi katika kazi za fasihiMada 2
  1. Kuchambua mbinu zinazotumika kujenga ujumi katika ngonjera, hadithi fupi na riwaya
  2. Kutumia mbinu za ujumi kusimulia na kutunga matini/insha za kisanaa

Ujumi ni taaluma inayohusika na kanuni za uzuri au ubaya wa kisanaa katika kazi za fasihi. Kwa mujibu wa Ponera (2014) na Sanga (2021), ili kubaini ujumi uliomo katika kazi za kifasihi, mhakiki hupaswa kuchunguza namna mtunzi alivyosawiri uzuri au ubaya unaojielekezwa katika vipengele vifuatayo: umbaji wa kazi yenyewe, uundaji wa wahusika, uundaji wa mandhari, na matumizi ya lugha ya kisanaa.

Swali

Kwa mujibu wa kitabu cha TIE, ujumi katika kazi za fasihi ni nini?

Ingia ili kuwasilisha jibu lako na lihesabiwe katika umahiri wako.

Ingia ili kufanya mazoezi

Mwalimu

Umekwama? Niulize chochote kuhusu mada hii.

Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu swali hili.

Ingia ili kuuliza