Mada za sehemu hiiKuonesha uelewa wa kazi za fasihi ya Kiswahili ya kitaifaMada 5
- Kufafanua dhana ya fasihi ya Kiswahili ya kitaifa
- Kuchambua sifa za fasihi ya Kiswahili ya kitaifa kwenye 'Wimbo wa Taifa', wimbo wa 'Tanzania Tanzania', wimbo wa 'Tazama Ramani' na wimbo wa 'Mashujaa wa Zanzibar'
- Kujadili sifa za fasihi ya kitaifa kwenye fasihi ya watoto
- Kubainisha sifa za fasihi ya kitaifa kwenye ngano
- Kutunga shairi lenye sifa za fasihi ya kitaifa
Mwalimu
Unasoma somo hili? Niulize nikuelezee chochote kilichomo.
Ingia ili kumuuliza Mwalimu wa AI wa Sonza kuhusu mada hii.
Ingia ili kuuliza